Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na mfanyabishara maarufu wa
Nigeria Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye
jijini Abuja, Nigeria, May 8, 2014 pembeni mwa
Mkutano wa Dunia wa Uchumi kwa Afrika. Alhaj
Dangote ni mwekezaji mashuhuri duniani na hivi
sasa anajenga kiwanda kikubwa cha saruji
mkoani Mtwara.

Categories:

Leave a Reply