Kama unapenda muziki wa kitanzania basi ni
nafasi ya kipekee sana kwako kutazama
wanamuziki wa kitanzania wakipokea tuzo zao
za ubora baada ya kura zako, tiketi za
Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014
zimeanza kuuzwa rasmi Mlimani City
Conference Centre kwa Sh 20,000 TU. Wahi
sasa ili uwashuhudie mastaa mbalimbali na
wateule wakipokea tuzo katika usiku wa tuzo
utakaofanyika Jumamosi wiki hii katika ukumbi
wa Mlimani City.

Categories:

Leave a Reply